Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amekanusha taarifa za kupatikana kwa mfanyabishara Mohammed Dewji, na kwamba taarifa zilizosambaa kuwa amepatikana sio sahihi.

Makonda ametoa onyo kali kwa yeyote atakayeibuka na kuanza kusambaza taarifa za uongo kuhusiana na tukio hilo au kuligeuza na kulifanya mtaji wa kisiasa.

Spurs kurejea nyumbani Desemba 26
Video: Mwendokasi vurugu tupu, Majaliwa, Dk Bashiru wahofia kura za JPM

Comments

comments