Katika kujipanga vyema mwaka 2017 na kuufanya  mwaka wenye mafanikio tele na malengo timilifu, Gazeti la Mwananchi limeweka mkazo mambo 10 ya msingi kuzingatia ili kufikia malengo yako au kutimiza ndoto zako.

Gazeti hilo limeorodhesha….

  1. Nidhamu ya fedha
  2. matumizi mazuri ya muda
  3. malengo mbadala ‘Plan B’
  4. kuwa na taarifa sahihi
  5. usipoteze mwelekeo
  6. kujali afya
  7. uchaguzi wa marafiki
  8. kujielimisha
  9. uthubutu na kuwa tayari kwa lolote
  10. kuacha visingizio
Rais Magufuli amtumbua Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco
Daktari ashuhudia uwepo wa Mungu kwa mgonjwa aliyechomwa mkuki mdomoni na kutokea shingoni

Comments

comments