Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, leo Disemba 5, 2021 amemtembelea Mama Maria Nyerere nyumbani kwake msasani kwa lengo la kumjulia hali.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mama Maria Nyerere wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Msasani Jijini Dar es Salaam leo tarehe 05 Desemba, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Kitukuu cha Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere wakati alipomtembelea Mama Maria Nyerere kumjulia hali nyumbani kwake Msasani Jijini Dar es Salaam leo tarehe 05 Desemba, 2021.
Wizara ya Ujenzi, TANROADS wakumbushwa
Gavana wa Talibani anusurika shambulio la bomu