Lissu ‘auziwa’ kesi ya Mbunge Chadema, Magufuli apigilia msumali wa moto, Asema Serikali haitatoa chakula cha msaada bure, adai hilo si jukumu lake… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Januari 12, 2017, Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Makelele Arejea England, Kuikabili Arsenal Jumamosi
Stan Bakora: Huu ni mwaka wa ubunifu kwa wasanii

Comments

comments