Mbowe akomaa na Rais Magufuli, Sakata la Tegeta Escrow, Nguvu ya kimataifa yaongezwa, TAKUKURU yaanza kufuatilia fedha za nje za watuhumiwa, Waziri alivyotua kiwandani kininja, Tanzananite ya mabilioni yatoroshwa…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 14, 2017. Tazama video

Video: Ruby – “Nandy anajaribu kupita kama mimi”, afunguka kuhusu mpenzi wake mpya 

Bunge la Iran latenga mabilioni kuboresha silaha za nyuklia
Odinga awashauri wafuasi wake kususia kazi