Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anawasili Mkoani Tanga leo Agosti 3, 2017 kwa ajili ya uzinduzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga nchini Tanzania.

Uzinduzi huo utafanyika Agosti 5, 2017. Bofya hapa kutazama moja kwa moja kutoka Mkata, mkoani Tanga muda huu

Mkojo wa Masogange watetewa kama wa Wema, yadaiwa una ‘Unga’
Magazeti ya Tanzania leo Agosti 3, 2017