Sumaye, Lowassa watabiriwa kurudi CCM, DCI afunguka, JPM chondechonde njaa kali – Lipumba… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Januari 9, 2017, Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Dayna kushiriki tuzo za kimataifa 2o17
Maalim Seif aunguruma Zanzibar,Lowassa ashukuru kwa mahaba