Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru) imeanza kufuatilia wanasiasa ambao wameanza kukusanya watu na kuwashawishi wawachague kwenye uchaguzi mkuu ujao wakati muda wa kampeni bado haujaanza.

Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam, Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru nchini  Brigeda Jenerali John Mbungo amesema nilazima wansiasa wafuate sheria katika kutafuta nafasi za uongozi na yeyote atakayeonesha dalili ya utoaji rushwa atashughulikiwa…, Bofya hapa kutazama

Rais, Mawaziri na Wabunge wawekwa Karantini Botswana
Mambosasa apiga marufuku mikusanyiko Ufukweni na Bar, Pasaka