Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi pamoja na Wakala wa Barabara Tanzania TANROADS kuhakikisha ujenzi na ukarabati wa Barabara na madaraja unafanyika kwa Viwango vilivyokubaliwa kimkataba Ili zidumu kwa muda mrefu.

Rais samia ameyasema hayo leo Disemba 5, 2021 wakati akifungua rasmi Barabara ya New Bagamoyo sehemu ya Morocco hadi Mwenge yenye urefu wa kilimita 4.3

Habari kubwa kwenye magazeti leo, Disemba 6, 2021
Rais Samia amtembelea Mama Maria Nyerere