Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko hii leo Februari 25, 2024 anatarajia kushuhudia uwashaji wa mtambo mmoja kati ya mitambo 9 ya kuzalisha umeme katika mradi wa bwana la uzalishaji wa umeme Julius Nyerere Rufiji

Mtambo huo una uwezo wa Kuzalisha Megawat 235 za umeme zinazotarajia kuingizwa katika grid ya Taifa na kuongeza uimarishaji wa upatikanaji wa Umeme Nchini.

Mtambo wa kwanza JNHPP waanza kuzalisha Umeme
Miradi ya Elimu ishirikishe Wananchi - Kamati