Jina langu ni Mage kutokea Arusha, Tanzania, jamani usiombe ukawa mtoto wa nje ya ndoa, yaani baba yako kachepuka halafu ukapatikana wewe, hii imenifanya nisione umuhimu wa baba katika maisha yangu.

Nimezaliwa na kulelewa na mama kwa shida sana ingali baba yangu ana uwezo tena uwezo mkubwa mno, mama yangu amenilea na kunisomesha kwa biashara ya vyakula, yaani mama ntilie.

Maisha yalikuwa magumu sana kipato hakijitoshelezi, nalima bustani nipate nauli na mahitaji mengine ya shule, unazungusha mchicha mitaani upate pesa, yaani unakutana na wenzako wa shuleni wanaanza kukutania.

Ukifika darasani wanaanza kuita mchicha mchicha, duuh! unajisikia vibaya lakini ndio utafanyaje sasa?, kuna kipindi nikaambiwa kuhusu baba yangu na wapi anaishi ila mama hakuwahi kuniambia na wala hataki kabisa nijue.

Basi nikaanza kumtafuta nikamwandikia barua kumweleza maisha nayopitia kuhusu kusoma na barua ilimfikia lakini hakuijibu, siku zikaenda nikamaliza shule ya msingi nikafaulu nikaingia sekondari maisha ni yaleyale tu.

Siku moja tena nikakutana na baba mmoja akaniambia mbona kama unafanana na mama yetu?, ikabidi anidadisi kumbe ni baba mdogo yangu, akanichukua akanipeleka mpaka kwa baba ila hatukumkuta.

Nikamkuta mke wake nikajitambulisha pale akasema nasikiaga kuwa ana binti lakini alishakataa akasema yeye hana mtoto ila Mungu wa ajabu leo umekuja mwenyewe, akapiga simu kwa baba simu ikawa haipatikani, basi nikarudi nyumbani kimya sikumsimulia mtu.

Nikamaliza form 4 nikafaulu kwenda form 5, hapo sasa ndio nikauchukia umaskini, kwanza mahitaji ya shule hayakukamilika kwa wakati nikapambana na mchicha lakini wapi.

Ikabidi niende hivyo hivyo kuanza masomo, baadae nikarudi wakati wa likizo nikasema hapa liwalo na liwe ngoja nimtafute huyu mtu nione itakuwaje.

Jamani siyo kazi rahisi nikatafuta namba nikaipata kwa sharti nisimtaje aliyenipa, nikampigia bwana, duhh nilichokutana nacho Mungu baba anajua.

Akaniambia wewe nani nikajitambulisha pamoja na jina la mama, akasema una uhakika mimi ni baba yako?, nikamwambia nimeambiwa ni wewe, akasema sina mtoto kama wewe akakata simu.

Basi nikaachana naye, kesho yake akapiga mwenyewe simu akaniita, basi nikapokea nikamsalimia akaniuliza unasoma? nikajibu ndio kidato cha 5, Shida nini? nikwambia mahitaji nikaorodhesha basi akatuma hela.

Sasa nitamwambiaje mama nimepata wapi hela? nikaongea na mjomba ikabidi aseme yeye ndio kanipa, nikarudi shule na unafuu na maisha yakaendelea.

Nikamaliza kidato cha sita kipindi hicho nikawa nikimpigia yaani kama hataki kunisikiliza hivi, nikabidi niende kwa yule aliyenipa namba, akaniambia ngoja nikupe namba ya dada yako ujitambulishe umweleze labda atakusaidia.

Kupata namba ya nikashushuliwa na huyo dada “Sisi hatukujui na wala baba hajawahi kutuambia kwanza hayatuhusu”, nikajikatia simu.

Kilichokuwa kinanisumbua ni yale mahitaji ya kwenda chuo zile gharama Mungu wangu nitazipataje nilipata mkopo lakini asilimia 78% ualimu. Sijui hela ya bima, hostel na ada inayobakia, nikapambana na mama akanambia nina  Sh50,000 tu.

Nikitoa nauli inabaki Sh30,000 bado sijala kipindi cha usajili kile nitaishije?, basi nikamtafuta baba, atuma msg za huruma angalau anihurumie. Basi akanitumia Sh150,000 hivi, nikaunga unga maisha ya shidashida mpaka boom likatoka nikalipa madeni maisha yakawa angalau.

Siku moja nikampigia kumsalimia akajua nataka msaada akanambia sitaki usumbufu na wala usinipigie tena mimi siyo baba yako, nilijisikia vibaya sana basi namwachia Mungu.

Nikawa nawasiliana na baba mdogo namuuliza hivi mimi ni mtoto wenu kweli akasema wewe ni wa kwetu na yeye analijua hilo na anakiri labda anahofia mkewe na mali hizo mali zake, labda kuna siku utataka mgao.

Nikasema huko sipo mimi, nataka tu na mimi nijisikie kuwa na baba, ule uwepo wake tu kwangu unatosha, akaniambia vumilia kuna siku atabadilika.

Nilibahatika kumaliza chuo ila kupata kazi nayo ikawa changamoto, nilimtafuta baba nakuomba anitafutie kazi kwa sababu yeye ana uwezo na anajuana na watu wengi lakini akanikatalia na kuniambia nisimtafute tena.

Katika kupitapita zangu nikakutana na tangazo la Kiwanga Doctors katika chombo kimoja cha habari, tangazo hilo lilieleza kuwa ana uwezo wa kuwasaidia watu kupata kazi.

Basi nilichukua namba yake (+254 769 404965) na kumueleza shida yangu, nashukuru aliweza kunielewa na kunifanyia dawa yake ya kupata kazi.

Kweli nilifanikiwa kuajiriwa serikalini na sasa nina maisha yangu mazuri tu pamoja na mama yangu ila suala la baba yangu kunikataa bado linanisumbua sana.

Siku zote kumbuka Kiwanga Doctors anatoa huduma kama kusafisha nyota, kusuluhisha migororo ya ndoa, mahusiano, mapenzi na familia, kumfunga mume au mke asitoke nje ya ndoa, anatoa tiba kwa wanaotafuta watoto.

Vilevile anatoa huduma ya kukusaidia kupata kazi au ajira, kupandishwa cheo na mshahara kazini, kuwasaidia wenye urahibu wa dawa za kulevya, sigara na pombe, kwa wanaotafuta mume au mke pia anawasaidia tena ndani ya siku chache.

Anatibu magonjwa kama kisukari, msukumo wa damu (BP), upungufu wa nguvu za kiume, miguu kuwaka moto n.k, pia anaweza kuisadia biashara yako kunawiri, na huduma zote hizi unaweza kuzipata bila kufika ofisini kwake na waweza chukua hatua ya kuwasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba; +254 769 404965.

 

Bayern Munich kuizidi kete Liverpool
Utatuzi kero za Wananchi: Rais Samia, DC Malisa wapewa tano