Idara ya usalama katika eneo Bunge la Kaloleni, imethibitisha kukamatwa kwa mtu mmoja kutoka Lunga lunga kaunti ya Kwale, akidaiwa kuhusika na mauaji ya Wazee wa eneo hilo, ambao wamekua wakihusishwa na uchawi.

Naibu Kamishna wa Kaloleni, Dennis Baraza anasema tayari wahusika wakuu wengine wametajwa katika uchunguzi huo, huku idara ya usalama ikipanga kuwakamata watu hao baada ya uchunguzi.

Shambilio lauwa 60 Urusi, ISIS wakiri kuhusika
Vifo zaidi ya watu 400: Ripoti ya Shakahola ilipuuzwa