Serikali ya Sudan Kusini inatarajia kufungua Shule juma lijalo, baada ya kuzifungwa kwa wiki mbili kutokana na joto kali lililokuwepo nchini kote.

Hatua hiyo, inatokana na viwango vya joto kutarajiwa kushuka huku msimu wa Mvua ukitarajiwa kuanza siku zijazo, huku ikikumbukwa kuwa miaka ya karibuni Nchi hiyo ilikumbwa na athari mbaya za mabadiliko ya hali ya hewa.

Joto kali, mafuriko na ukame vikiripotiwa katika misimu tofaut na wakati wa wimbi la joto wiki iliyopita, nchi hiyo ilirekodi viwango vya joto hadi nyuzi joto 45.

Vinicius Jr: Sitaondoka Hispania, Real Madrid
Al Ahly, Mamelodi Sundowns hali tete Dar es salaam