Katibu Mkuu wa Jumyiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa Komredi Jokate Urban Mwegelo (MNEC) amepokelewa Mkoani Mtwara na kuvishwa skafu kama Ishara ya Amani, Upendo na Mshikamano kwa wananchi wa Mtwara tarehe 28 Aprili, 2028.

Komredi Jokate Mwegelo ameambatana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM anayefanyia kazi zake Zanzibar Komredi Abdi Mahmoud Abdi.

Huduma Kimataifa: BMH yakutana na Mabalozi
Kamati ya uongozi yaridhishwa usimamizi wa mradi JNHPP