Sloti ya Piggy Party inayopatikana kasino ya mtandaoni Meridianbet imetosha kumpatia utajiri kijana mmoja ambaye hajataka jina lake kutajwa. Hii ni baada ya kushinda milioni Tsh 20,000,000/= kwa dau la 5,000/=

Kutoka uswahilini Temeke Mtoni kwa Aziz Ali, Meridianbet imempata milionea aliyecheza kasino ya mtandaoni kwa dau dogo tu lililompeleka kwenye Jackpot kabambe ya ushindi.

Mwamba anasema kwamba ameifahamu Meridianbet kasino ya mtandaoni kwa muda wa miaka 4 na amekuwa akicheza sana sloti na michezo mingi, moja kati ya michezo aliyocheza na kumpa utajiri ni Piggy Party.

“Nimeifahamu Meridianbet kasino ya mtandaoni kwa miaka 4, na kila nikicheza nilikuwa nashinda pesa ndogo kuanzia Laki Moja lakini hatimaye bahati imenidondokea mimi kwa kushinda TZS Milioni 20,000,000/= Mshindi kutoka Kwa Aziz Ali.

Meridianbet kasino ya mtandaoni ina michezo/sloti mingi ya ushindi na kila siku washindi wengi wanatangazwa, kama hujashinda leo basi endelea kucheza mara kwa mara huenda nawe kesho ukawa Milionea.

Kubwa kuliko ni kwamba kila unapojisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko 50 ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

NB: Sloti ya Piggy Party ina mistari 11 ya ushindi, kuna chaguo la Gamble kuongeza ushindi wako kama unahitaji, kubwa Zaidi kila unapocheza unaingia kwenye Jackpot ambayo inatoa mamilioni ya hela.

Ufalme umemdondokea mwenentu kutoka Mtoni kwa Aziz Ally, alilala maskini na kuamka milionea wa TZS 20,000,000/= kwa dau dogo la Tsh 5,000/= wewe pia una nafasi ya kuwa mshindi????

? Tembelea www.meridianbet.co.tz kucheza kasino na ubashiri wa michezo mingine.

Wakulima zingatieni maelekezo ya maafisa ugani - Serikali
Ndio hivyo tena, wanasepa FC Bayern Munich