Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan aliwasili Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia Februari 16, 2023 kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 36 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika – AU.

Yafuatayo ni baadhi ya matukio katika picha yakimuonesha Rais Samia mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa nchi hiyo Bole, jijini Addis Ababa.

Rais Samia akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole, Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 36 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).
Rais Samia akikagua Gwaride la Heshima mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 36 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).
Rais Samia akikagua Gwaride la Heshima mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole Jijini Addis Ababa.
Rais, Samia Suluhu Hassan akiangalia ngoma za asili za Taifa la Ethiopia mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 36 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).

Ngoma za asili za Taifa la Ethiopia mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 36 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).
Ngoma za asili za Taifa la Ethiopia mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole

Ukandamizaji haki: Wanahabari, Wanaharakati waungana
Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Februari 17, 2023