Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeendelea kutekeleza mkakati wa kutoa elimu ya mpiga kura kwa wananchi ili kuimarisha demokrasia nchini.
Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mstaafu Damian Lubuva ametoa wito kwa wananchi kuendelea kutoa ushirikiano wao kwa NEC ili kufanikisha mkakati huo. Bofya hapa kutazama video