Ukweli kuhusu radi za kichwani Sumbawanga, Lissu alivyojitetea mwenyewe mahakamani, Sakata dawa za kulevya, Ridhiwani afunguka baada ya kuhojiwa…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Machi 18, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Chris Kika kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Nash Mc kuiachia Shujaa kesho, 'Nikifa maskini wewe furahia'
Rais Dkt. Magufuli kuingilia kati mgogoro wa wakulima na wafugaji