Gari aina ya Toyota yenye namba T 731 DXB limegonga Treni maeneo ya Usinge Mkoani Tabora, na hadi taarifa hii inachapishwa kulikuwa hakuta taarifa za kifo kilichotokea wala majeruhi.

Dar24 Media inaendelea kuwasiliana na Mamlaka husika akiwemo Kamanda wa Polisi Mkoani Tabora, ili kuweza kupata taarifa zaidi.

Zifuatazo ni picha za tukio mara baada ya ajali hiyo.

Tafiti: Watanzania 8,500 wanahitaji huduma upandikizaji figo
Serikali yasitisha vibali ukarabati Majengo chakavu