Jeshi la Polisi nchini limsaka Michael Masapi (40), mkazi wa eneo la Kilando mkoani Rukwa anayetuhumiwa kumjeruhi kwa kumng’ata masiko yote mawili mama yake mzazi, Winifrida Atanasi.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo Ali Hamad, amesema amesema chanzo ni imeni za kishirikina alizodai Michael Masapi kuwa mama yake analoga watoto wake yaani wajukuu zake.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi, Ali Hamad.

Amesema, kuwa mama huyo amelazwa katika Hospitali ya Kalema mkoani humo na anaendelea na matiba.

Hata hivyo Kamanda Hamad , amewataka wanchi kushrikiana na jeshi la Polisi katika kuwafichua wahalifu popote walipo.

Matukio dawa za kulevya, ulawiti yashamiri Tanga
Kikosi Maalum cha Polisi kuelekea Msumbiji