Jeshi la Polisi Nchini, linatarajia kupeleka Kikosi Maaalum cha Polisi (Formed Police Unit -FPU) nchini Msumbiji kwa ajili ya Misheni ya Ulinzi wa Amani.

Kamishna wa Polisi Operesheni na Mafunzo, Awadhi Haji ameyasema hayo wakati wa ufungaji wa mafunzo kwa askari wanaotarajia Kwenda kulinda amani nchini Msumbiji, yaliyokuwa yakifanyika Shule ya Polisi Tanzania, Moshi.

Kamishna wa Polisi Operesheni na Mafunzo, Awadhi Haji.

Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Renata Mzinga amesema kupelekwa kwa kikosi hicho cha Polisi ni utekelezaji wa Maazimio ya SADC katika kuimarisha ulinzi na usalama katika nchi wanachama wa SADC.

.

Aliyemng'ata masikio mama yake asakwa na Polisi
Mgogoro wa ardhi wasabaisha mifugo kufa, mazao kuharibika