Baraza la Taifa la Sanaa (BASATA) wametoa pongezi kwa msanii Staa wa Bongo Fleva, Nassibu Abdul, maarufu Diamond Platnumz kwa Kufanikiwa kutajwa kuwania Tuzo ya BET za Mwaka 2021 katika Kipengele cha Msanii anayefanya vizuri Kimataifa.

Vyama vya upinzani Israel vyakubaliana kuunda serikali ya muungano
Simba yazidi kutamba kileleni ligi kuu