Hatimaye yule mtoto aliyetajwa kwa jin moja la Aziz aliyevaa flana iliyochorwa jina la Ajibu yenye namba 23, amepatikana baada ya kutafutwa ili apewe ‘kitu’.
Dogo huyo alivaa jezi hiyo kwenye mechi kati ya Simba dhidi Polisi Dodoma iliochezwa mwishoni mwa juma lililopita kwenye Uwanja wa Jamhuri.
Klabu ya Simba waliamua kumtafuta na kumkabidhi jezi orijino ya Ajibu, ambae ni moja wa nyota  waliokulia kisoka katika klabu ya Simba.
Chanzo: Saleh Jembe

Chelsea Yaiponza Man Utd, Yatuhumiwa Kufanya Vurugu
Lukaku Ashinikiza Kuondoka Goodison Park