Karibu usome habari zilizopewa nafasi kwenye kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, leo Augusti 27, 2021.

Usikose pia kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao.

Serikali yatenga Bilioni 41 mradi wa umeme
Waziri Mkenda atoa maagizo bodi ya korosho