Karibu usome habari zilizopewa nafasi kwenye kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, leo Juni 15, 2021.

Usikose pia kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao.

Balozi Mulamula aomba radhi
Mgonjwa anayehitaji damu ahudumiwe kwanza huku taratibu zingine zikifuatwa – Dkt. Mollel