Mtangazaji na mchoroji maarufu wa katuni, Masoud Kipanya ambaye kwasasa amebuni gari linalotumia umeme amumueleza Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango kilichomsukuma kutengeneza gari inayotumia umeme.

Kipanya amesema kuwa mara baada ya Ugonjwa wa Covid 19 kuikumba dunia na nchi nyingi kujifungia na kufunga mipaka ndipo akaja na wazo la kutengeneza gari ambayo inatumia umeme ambayo itasaidia watanzania na nchi za jirani.

Amesema hayo wakati wa maonyesho ya Kilele cha wiki ya Ubunifu kitaifa yaliyofanyika Jiji Dodoma ambapo Dkt. Mpango ametembea katika banda la mbunifu huyo wa gari la umeme.

Nasreddine Nabi aihofia Mbeya Kwanza FC
UN: Vita vya Ukraine kusababisa mgogoro wa chakula duniani