Baada ya kutangaza kujivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) siku Jumatano, David Kafulila  amejiunga rasmi na Chama cha Mapinduzi CCM.

Kafulila amekabidhiwa kadi ya CCM na Katibu Muenezi wa CCM, Humphrey Polepole katika mkutano wa kumnadi mgombea wa udiwani wa chama hicho jijini Dar es salaam.

Wamiliki wa kampuni za kubahatisha watakiwa kujitokeza kwa wingi
Tshabalala atamani kutimkia Kenya