Afrika wasanii wanafanya vizuri katika muziki na kupelekea kukamata pesa ndefu sana, na ndio maana siku hizi watu wengi wanadumbukia katika dimbwi la sanaa ya muziki.

Nigeria ni moja ya nchi inayozalisha vipaji vizuri vya sanaa ya muziki, wasanii wengi toka Niger hujipatia utajiri wao kupitia sanaa ya muziki.

Katika kumi bora, wasanii wanne toka Nigeria wameingia katika orodha ya wasanii matajiri Afrika nzima, kwa Tanzania wengi tumetegemea kuona Diamond Platinumz kuwepo katika orodha hiyo lakini mambo yamekuwa tofauti.

Kumbe Diamond platinumz haingii hata katika kumi bora ya wasanii Afrika waanaoshika mkwanja mrefu, japokuwa anasumbua sana bongo na pesa anayoshika.

Tazama orodha hapa chini.

1.Akon toka Senegal

2. Black Coffe toka South Africa

3. High Masekela toka South Afrika

4. Don Jazy toka Nigeria

5. Tinashe- Zimbabwe

6. Jidenna toka Nigeria

7. Wizkid toka Nigeria

8. David toka Nigeria

9. Sarkodio toka Ghana

10. Oliver Mkaduzi toka Zimbabwe

Watu 7 watiwa mbaroni kwa kupinga mabadiliko ya ukomo wa umri wa rais
Tanzanite yarejea Dar kuivaa Nigeria