Mtayarishaji wa muziki, Man Walter anayemiliki studio ya ‘Combination Sounds’ ameeleza sababu za wasanii Mr. Nice na 20% kupotea katika muziki na jinsi umaarufu unavyobadilisha tabia za wasanii wengi.

Walter ambaye ametengeneza wimbo wa Seduce me wa Ali Kiba unaotamba kwa sasa  alishiriki kwa kiasi kikubwa kutengeneza nyimbo za Mr. Nice zilizotamba akishirikiana na Kameta ambaye pia ni mtayarishaji wa muziki (Music Producer).

Akiongea katika kipindi cha The Avenue kinachorushwa TBC1, Walter ambaye pia alitengeneza nyimbo nyingi za 20% ameeleza sababu za msanii huyo kupotea kwenye muziki.

Tazama video ya mahojiano ya Man Walter katika kipindi cha The Avenue hapa chini;

ayemilik

Ujerumani yaipatia Tanzania msaada wa bil. 521
Lema anena mazito kuhusu waliokamatwa na polisi