Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anaweka jiwe la msingi kuzindua mradi wa nyumba za Magomeni Kota jijini Dar es Salaam leo Aprili 15, 2017. Mradi huo utakuwa ni kwa ajili ya makazi ya wananchi 644 na wakataa kwa muda wa miaka mitano bure. Bofya hapa kufuatilia moja kwa moja kutoka Magomeni hotuba ya Rais Magufuli muda huu katika uzinduzi wa mradi huo.

Video: "Tumejiandaa kwa vita kamili'' - Korea Kaskazini
Jeshi la Polisi latangaza vita isiyo na kikomo dhidi ya wahalifu

Comments

comments