Tazama hapa moja kwa moja Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere yanayofanyika leo Aprili 13, 2017 muda huu katika Chuo Cha Kumbukumbu cha Mwalimu Nyerere Kigamboni, jijini Dar es salaam. Kongamano hilo limefunguliwa na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa na mwenyekiti wa Kuongamano hilo ni Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda. Bofya hapa kutazama moja kwa moja

>>>Tazama hapa yanayojiri muda huu

Mbao FC Kumchunguza Erick Ngwengwe
Ronaldo Aendelea Kutesa Ulaya, Amgalagaza Messi