LIVE: Rais Magufuli akizindua ujenzi wa barabara Kasulu, Kigoma
8 years agoComments Off on LIVE: Rais Magufuli akizindua ujenzi wa barabara Kasulu, Kigoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli yupo mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi, ambapo muda huu anaweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya kilomita 63 ya Kibondo hadi Kasulu mjini, mkoani Kigoma. Tazama hapa moja kwa moja