Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema na aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na kuachia madaraka, Edward Ngoyai Lowassa leo Januari 15, 2018 ameamua kuweka wazi mambo aliyozungumza na Rais, John Pombe Magufuli Ikulu mnamo Januari 9, 2018.

Ambapo amesema kuwa Rais Magufuli alimuomba aende Ikulu akafanye naye mazungumzo na moja ya jambo ambalo JPM alizungumza na Lowassa ni kumshawishi arejee CCM.

Ambapo Mkurugenzi wa Itikadi, Mawasiliano na Mambo ya Nje- Chadema, bwana John Mrema amethibitisha kuwa ujumbe huu ni kutoka kwa Edward Lowassa.

JPM atuma salamu ajali iliyoua watu 11 Kagera
Video: Rais Dkt. Magufuli amewatikisa wazungu- Cyprian