Mkurugenzi Mkuu wa CZ Information & Media Consultant LTD, Cyprian Majura Nyamagambile amesema kuwa tangu enzi za Baba wa Taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere Tanzania haijawahi kuwa na rais kama Dkt. John Magufuli.

Ameyasema hayo Jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, ambapo amesema kuwa rais Dkt. Magufuli anafanya kazi kubwa na anasimamia kwenye matendo yake.

Aidha, katika hatua nyingine, amesema kuwa wanakusudia kumshtaki Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Tundu Lissu kwa kile alichodai kuwa ameichafua nchi.

 

Lowassa afunguka mazungumzo yake na JPM Ikulu
Watu 11 wamefariki dunia na 5 kujeruhiwa katika ajali ya gari