Miili ya Askari Polisi watatu na mlinzi mmoja wa kampuni ya ulinzi ya SGA waliiuawa na kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Hamza Jumatano ya Agosti 25, 202, karibu na Ubalozi wa Ufaransa, Dar es Salaam imeagwa leo Ijumaa Agosti 27, 2021 katika viwanja vya Polisi, Kurasini mkoani Dar es Salaam.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Simon Sirro amehudhuria katika shughuli hiyo ya kuaga miili ya Askari hao.

Madereva wa Serikali watakiwa kufuata sheria
Mbaroni kwa tuhuma ya mauaji ya watu wawili