Mashabiki wanaoaminika kuwa ni wa Young Africans  tayari wamejitokeza kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam wakisubiri muda wa kufunguliwa milango.

Milango ya kuingilia uwanjani itafunguliwa saa tano asubuhi hii.

Mashabiki hao wapo tangu alfajiri wakisubiri kupewa utaratibu wa kuingia uwanjani kushuhudia mechi ya kombe la Shirikisho kati ya Yanga na TP Mazembe

Video: 'Top 10' ya Marapa Bilionea na mijengo yao 2016, Majuu
Andrés Iniesta Huenda Akamfuata Lionel Messi