Leo Julai 15 2016 Baraza la mitihani Tanzania limetangaza matokeo ya Ualimu (DSEE) na GATCE 2016.

Ambapo jumla ya watahiniwa 337 sawa na asilimia 84.46 ya walifanya mtihani Stashahada ya Ualimu Sekondari (DSEE) 2016 na

Jumla ya watahiniwa 10,747 sawa na asilimia 99.81 ya walifanya mtihani wa Ualimu Daraja A (GATCE) 2016

Bofya hapa kutazama matokeo ya ualimu daraja A (DSEE) 2016  –>> hapa

Bofya hapa kutazam matokeo ya GATCE 2016  –>> hapa 

Video: Polisi Dar wakamata Genge la 'Panya road', Bunduki ya kienyeji
Mlinga Kuimarisha Afya na Elimu za Wanaulanga