Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, imekuja na promosheni Kubwa ni Sloti bomba ya Aviator, ambapo ndani ya Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet sloti itatoa hela na hivyo kukusisitiza usiikose, ambapo kwa dau la kuanzia Tsh 200 unaweza kuizalisha na kuwa milionea kupitia mizunguko 500 ya bure inayotolewa kila siku baada ya kucheza mchezo wa Aviator na hivyo kukuwezesha kuwa mmoja kati ya wanufaika wa promosheni hii.

Wakati kila siku washindi wa Aviator wakipatikana, wewe pia unaweza kuwa sehemu ya washindi wetu wanaovuna mamilioni kila siku kwa kurusha ndege ya Aviator kutoka Meridianbet na kuwa bingwa usiye sahaulika, na waweza Jisajili sasa kwa kugusa link ya https://meridianbet.co.tz/en/betting, au kama tayari wewe ni Mteja unatakiwa ingia sasa kwenye kurasa za kasino na uchague Aviator.

Unatakiwa kuchagua Aviator kwakua Kuanzia leo mpaka Machi 22, mvua 20 za bure sawa na beti 500 kila siku zitakushukia na hivyo wahi na Ushinde Sasa! https://app.mrdn.co/aviator Meridianbet Tanzania wameamua kutuletea gemu hii mpya ambayo inapita viwango vyote vya burudani, na AVIATOR ni mchezo wenye ubora wa viwango vya kimataifa, ikiwa imeendaliwa vyema kukusogezea burudani na ushindi.

Aidha, unashauriwa kujaribu uhondo wa Aviator Ufurahie Mihela na Gemu hii ya kusisimua inakufanya ujishindie zaidi ukiwa unatengeneza mkwanja chap chap kwa kukupatia nafasi ya kupata ushindi mkubwa! Mizunguko ya bure 500 kwa siku, Dau la TZS 200 na mandhari ya kuvutia.

Hivi hapa ni vipande tuu vya baadhi ya vitu vya kufurahisha kwenye mchezo huu. Bila shaka upo tayari kuanza safari yako ya ushindi, taaratibu ukiwa na mchezo huu maridadi kuelekea kilele cha burudani! Lakini pia nakukumbusha kuwa si hii pekee, bado una michezo mingi unayoweza kufurahia kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Furahia michezo kama Roulette, Poker, Icy Fruit, Book of Egypt, City Derby na mingine kibao. Wanaokusogezea uhondo huu ni Meridianbet mabingwa wa ubashiri, wakitoa huduma za ubashiri wa mtandaoni kwa michezo yote pendwa na kasino ya mtandaoni na ikiwa hauna bando, usiwaze kuhusu kukwama bashiri zako, weka jamvi lako Meridianbet kwa USSD kwa kupiga 14910#1

Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Machi 11, 2023
Sekta ya Madini kuchangia asilimia 10 ya pato la Taifa: Biteko