Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaachia huru Wafungwa
263, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru.

Rais Samia pia amewapunguzia adhabu wafungwa wawili waliohukumiwa kifo na kuwa kifungo cha maisha, huku wafungwa 1,979 pia wakipunguziwa adhabu.

Madawati ya jinsia tunzeni siri
Dira ya Taifa: Hizi hapa changamoto za kupewa kipaumbele