Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museven amewasili katima uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere na kupokelewa na Mwenyeji wake Rais Samia Suluhu Hassan.
Rais Museven akikagua Gwaride la JWTZ baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa JKNIARais Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais Museven wa Uganda katika heshima ya nyimbo za Taifa.Rais Museven akiongozana na Rais Samia baada ya kupokelewa na nyimbo za Taifa Rais Museven akisalimia wananchi waliojitokeza katika mapokezi yake
Rais Museveni amewasili hii leo tarehe 27 Novemba, 2021 kwa ajili ya ziara ya Kitaifa ya siku tatu hapa nchini.