Nahodha wa timu ya Simba, Jonas Mkude amepata ajali.

Mchezaji huyo ambaye alikuwa katika gari binafsi na baadhi ya watu amepata ajali hiyo wakati akitokea Dodoma akiwa maeneo ya Dumila mkoaniMorogoro akielekea Dar es Salaam kwa ajili ya kambi ya timu ya taifa Taifa Stars.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka eneo la tukio, Mkude ameumia maeneo ya shingo na amepelekwa hospitali wakati mmoja kati ya abiria waliyokuwemo katika gari hilo akipoteza maisha.

Magazeti ya Tanzania leo Mei 29, 2017
Boni Love Awatofautisha watangazaji wa sasa na enzi zile, amtaja anaekuja vizuri