Mrembo kutoka Kenya, Lupita Nyong’o anaendelea kutikisa ulimwengu wa mitindo na urembo kwa muonekano wake ambapo jana alitisha zaidi kwenye ‘Glamour Women Of The Year Awards.’

Lupita 1

Katika tuzo hizo zilizotolewa jijini New York, mshindi huyo wa tuzo za Oscar alikuwa kivutio kikubwa kwa muonekano wake kwenye ‘zulia jekundu’ na alipopanda jukwaani kutoa tuzo akiwa na gauni lake la rangi ya kijani.

Lupita 2Lupita 3

King Kibadeni Akabidhiwa Mikoba Kilimanjaro Stars
Stewart Hall: Malengo yetu ni robo fainali Afrika