Kikosi cha Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC, kimeanza safari ya Morocco, kikitokea jijini Dar es salaam.

Kikosi cha Mabingwa hao kitaweka kambi ya majuma mawili nchini humi, kwa ajili ya kujiwinda na msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika.

Mnyika: CHADEMA milango ipo wazi kuzungumza na Rais
Simba SC yathibitisha safari ya Morocco