Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo amesema kuwa kwa mwaka huu jumla ya washiriki 3200 wamethibitisha kushiriki na nchi 7 za kigeni zitashiriki ikiwemo Makampuni 76 ambapo amesema kuwa katika maonyesho hayo maonyesho hayo yaki Mataifa yatakuwa ya aina yake.

Amesema hayo wakati akizundua maonyesho hayo katika viwanja vya saba saba leo Juni 28, 2021 ambapo amebainisha matukio ambayo yatakuwa yanaendelea katika maonyesho ambayo ni mikutano ya mitandao ya wafanyabiashara wa ndani na wafanya biashara wa nje, Uzinduzi wa nembo ya viungo vya vyakula na uzinduzi wa taarifa za mfumo wa biashara.

Eneo huru la Biashara Tanzania
Tanzania inawagonjwa zaidi ya 100 wa Corona