Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ally Mwinyi amepokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali – CAG, Dkt. Othman Abass Ali Ikulu , Zanzibar .

Akipokea ripoti hiyo, Rais Dkt. Mwinyi amemuomba Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora kuiwasilisha katika Baraza la Wawakilishi.

Kifungu cha 112 (5), kinamtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali awasilishe taarifa yote aliyoikagua na akabidhi kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kwa hatua nyengine.

Mawakili wasio waadilifu wawajibishe - Dkt. Mpango
Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Mei 12, 2023