Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameanza ziara yake nchini China, ambapo hii leo amekutana na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya watu wa China, Xi Jinping na kuzungumza naye mambo mbali mbali.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax pamoja na Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba wamesaini Mikataba mbalimbali baina ya Serikali ya Tanzania na China wakati wa ziara hiyo ya Beijing hii leo Novemba 3, 2022.

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Serikali ya China huku akiwa ameongozana na mwenyeji wake Rais wa Xi Jinping.
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba akisaini moja ya mikataba baina ya Serikali ya Tanzania na China.
Kikao kikiendelea.

Mwenyekiti atakiwa kujisalimisha kwa uchochezi
Iran yadaiwa kupanga shambilizi dhidi ya Saudi Arabia