Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, anatarajia kusafiri Agosti 24, 2021 kuelekea nchini Zambia kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zambia Hakainde Hichilema.

Habari kubwa kwenye magazeti leo, Augusti 24, 2021
Wanne wajeruhiwa ajali ya basi la Sauli