Mkuu wa Uhamiaji mkoani Kagera Pendo Butenghe, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Aprili 29 katika hospitali ya rufaa ya mkoa Bukoba.

Kaimu Mkuu wa Uhamiaji Kagera, Thomas Fush, amesema kuwa marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya kushuka sukari mwilini na shinikizo la damu.

Amesema wanasubiri mwongozo wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa na makao makuu ya uhamiaji kujua taratibu za msiba na maziko.


Maisha ya Ndemla ni bora kuliko matamanio yenu
Corona Tanzania: wagonjwa wapya 196, visa vyafikia 480