Mtayarishaji wa Muzuiki nchini D-Classic amesema kuwa tulitakiwa kuingiza wakina Diamond Platnumza 10 katika tuzo za BET ili kuutangaza zaidi muziki wa Tanzania, ambapo amesema kuwa tungekuwa tunaongea lugha moja kungekuwa na vizazi ambavyo ni vingi kwenye Tasnia ya muziki.

Amesema hayo katika kipindi cha mahojiano cha Exclusive na Dar24 Media amesema kuwa nchi zingine zinafanikiwa katika uchukuaji wa tuzo ni kwasababu wanaongea lugha moja na kuna madaraja ya kusikilizana.

Mahakama yamuachia huru Seth wa ESCROW
Jay- Z amfikisha Mahakamani mpiga picha wake