Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewateuwa Majaji wa Mahakama ya Rufaa.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kurugenzi ya mawasiliano ya Rais, Ikulu imesema uteuzi wa majaji hao umeanza April 28, 2023.

Aidha, taarifa hiyo imesema Majaji hao wa Mahakama ya Rufaa wataapishwa katika tarehe itakayopangwa hapo baadaye.

Wizara yaendesha mjadala rasimu ufanyaji biashara
Kasi uendelezaji uchumi wa Buluu yaridhisha